SIMBA WAJA NA MTOKO WA FAMILIA

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 waliopata dhidi ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, kesho Simba wanatarajia kumenyana na Al Hilal. Mchezo huo ambao Simba watajitupa kesho Uwanja wa Mkapa ni wa kimataifa wa kirafiki ikiwa ni maandalizi ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya…

Read More

BEKI WA KAZI SIMBA AREJEA

HENOCK Inonga, beki wa Simba amerejea kwenye uimara wake taratibu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons. Katika mchezo huo wa ligi Inonga mwenye mabao mawili alikwama kuyeyusha dakika 90 wakati timu hiyo ikisepa na pointi tatu mazima. Hakuwa kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji na Coastal Union na anatarajiwa…

Read More

AZAM FC KUKIPIGA NA AL HILAL AZAM COMPLEX

AZAM FC inayonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala, ina kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hila. Mchezo huo wa kimataufa unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Timu hiyo kwa sasa imeweka kambi Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za kimataifa. Mbali na Azam FC pia Al Hilal itacheza na…

Read More

TRY AGAIN: SIMBA HATUTAKUWA WANYONGE TENA, FURAHA INARUDI

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Salim Abdallah, ‘Tryagain’ amesema kuwa kwa namna ambavyo timu hiyo imejipanga hawatakuwa wanyonge tena bali furaha itakuwa ni mwendelezo. Hayo ameyasema leo kwenye mkutano wa Simba ambao una ajenda 13 ikiwa ni pamoja na ile ya uchaguz mkuu unaotarajiwa kufanyika leo Januari 29,2023. Kiongozi huyo amesema:-“Nawashukuru wanachama…

Read More

NATHAN AKE APELEKA KILIO KWA WASHIKA BUNDUKI

BAO pekee ambalo lilipeleka kilio kwa washika bunduki Arsenal kwenye mchezo wa raundi ya 4 FA Cup lilipachikwa kimiani na nyita Nathan Ake. Kwenye mchezo huo uliokuwa unaushindani mkubwa mashabiki wa Arsenal walishuhudia dakika 45 ngoma ikiwa ni nzito kwa timu zote mbili wakiamini watafanya jambo. Ubao ulipabdilika usomaji dakika ya 64 ambapo ulisoma Manchester…

Read More

MBRAZILI SIMBA AMPA BALEKE SAA 48

KIKOSI cha Simba jana Jumanne kilirejea kambini baada ya mapumziko ya siku moja, huku Kocha Mkuu Mbrazili, Robert Olvieira ‘Robertinho’ akitenga programu ya siku mbili sawa na saa 48, kwa mastaa wote akiwemo straika Jean Baleke. Lengo ni kuhakikisha Simba wanaibuka na ushindi dhidi ya Coastal Union na kukata tiketi ya kucheza robo fainali ya…

Read More

MTAMBO WA MABAO AZAM UNAREJEA MDOGOMDOGO

KWENYE chati ya ufungaji mabao ndani ya Azam FC, Idris Mbombo ni namba moja akiwa ametupia mabao 7 kibindoni. Nyota huyo ni imara kwenye mapigo huru ikiwa ni pamoja na penalti aliwahi kuwatungua Ruvu Shooting bao moja Uwanja wa Mkapa. Hakuwa kwenye mwendelezo wake bora kutokana na kutokuwa fiti lakini kwa sasa ameanza kurejea mdogomdogo….

Read More

MWENDO WA POLISI TANZANIA UNAFIKIRISHA

MWENDO wake kwa msimu wa 2022/23 wa Polisi Tanzania sio wa ligwaride songa mbele bali ni ligwaride rudi nyuma ikiwa unafikirisha kwelikweli. Januari 14 ikiwa ugenini, ubao wa Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 0-2 Polisi Tanzania na walikamilisha dakika 90 wakiwa pungufu. Kwenye mchezo huo mchezaji wao mmoja alionyeshwa kadi nyekundu wakati wakiongoza bao moja…

Read More

YANGA YAONGEZA NGUVU ULINZI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kuwa na ukuta imara ambao utakuwa unalindwa na makipa wenye uwezo mkubwa. Kwenye dirisha dogo Yanga imemuongeza Metacha Mnata ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Singida ig Stars ataungana na Diarra Djigui kipa namba moja, Aboutwali Mshery pamoja na Eric Johora. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi…

Read More

MASHINE MPYA SIMBA KUANZA NA DODOMA JIJI

JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wote ambao wamesajiliwa kweye dirisha dogo wapo tayari kwa ajili ya kutimiza majukumu ndani a timu hiyo. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Robert Oliviera kwenye dirisha dogo ni wachezaji watatu wapya imewasajili ambao ni Jean Baleke, Ismail Sawadogo na Mohamed Mussa. Jana walifanya mazoezi ya mwisho…

Read More

MASHINE ZA KAZI YANGA KAMILI KWA RUVU

AZIZ Ki kiungo wa Yanga ni miongoni mwa mastaa ambao wameanza mazoezi kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumatatu, Uwanja wa Mkapa Januari 23,2023. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa wameweka kibindoni pointi 53 kwenye mechi 20 ambazo wamecheza wamepoteza mchezo mmoja pekee. Mbali…

Read More