
TABORA UNITED YAANGUSHA TATU MBELE YA WALIMA ALIZETI
SINGIDA Blac Stars, walima alizeti wamekomba pointi tatu mazima kwa ushindi mbele ya nyuki wa Tabora, Tabora United kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti, Singida. Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na Victorean Adebayo aliyefungua pazia la mabao dakika ya 21, Jonathan Sowah katupia mabao mawili ilikuwa dakika ya 52 na 86. Kwenye…