
REAL MADRID YASALIMU AMRI KWA ARSENAL, BAYERN YATINGISHWA NA INTER MILAN
Mabingwa watetezi, Real Madrid wamevuliwa ubingwa wa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 5-1 dhidi ya washika Mitutu, Arsenal kwenye robo fainali huku Bayern Munich ikisukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Inter Milan. FT: Real Madrid 🇪🇸 1-2 🏴 Arsenal (Agg. 1-5) ⚽ 67’ Vinicius Jr ⚽ 65’…