Cheza LOOT Legends kupitia Meridianbet na ujipatie nafasi ya kuwa mshindi wa zawadi kubwa zaidi nchini. Promosheni hii ya kipekee inaendeshwa kwa muda wa wiki 10 kuanzia tarehe 30 Juni hadi 7 Septemba 2025, ambapo wachezaji watachuana kwenye leaderboard kwa kushinda sehemu ya jumla ya zawadi zenye thamani ya TZS 1.5 bilioni.
Ili kushiriki, unachotakiwa kufanya ni kujisajili (opt-in) kwenye mashindano ya kila wiki kisha ucheze michezo ya sloti kwa kutumia pesa halisi kuanzia TZS 280.
Ushindi wako utategemea “win multiplier” kubwa zaidi kutoka kwenye spin moja. Kwa mfano, ukibeti TZS 28,000 na ukashinda TZS 7,000,000, unapata pointi 250,000. Kila wiki, Meridianbet itatoa TZS 150,000,000 kama zawadi kwa washindi 1,000 waliopanda juu kwenye leaderboard. Zawadi zote ni pesa taslimu ambazo hazihitaji kuchezewa tena kabla ya kutolewa, na zinapatikana moja kwa moja kwenye akaunti yako au kwa kubofya “Claim” ndani ya siku 7 kupitia pop-up notification.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Michezo inayoshiriki ni pamoja na 12 Masks of Fire Drums, Candy Combo, Bass Cash X UP, Arena of Gold: Shields of Glory, Gold Blitz, Fire and Roses Joker, na 333 Boom Banks miongoni mwa mingine mingi. Promosheni hii ni halali kwa wateja wote waliosajiliwa Meridianbet na inafuata sheria na taratibu zote za michezo ya kubahatisha nchini Tanzania.
Hii ni nafasi yako ya kuwa LOOT Legend. Tembelea meridianbet.co.tz au tumia app ya Meridianbet, kisha cheza sloti zako pendwa na uingie kwenye mbio za ushindi mkubwa wa pesa taslimu.