MANCHESTER CITY YASHINDA KESI YAKE DHIDI YA BODI YA LIGI KUU
Klabu ya Manchester City ya Uingereza Oktoba 7, 2024 imeshinda kesi yake dhidi ya Bodi ya Ligi Kuu nchini humo ya sheria ya matumizi ya fedha iliyokuwa inawahusisha wamiliki wa klabu hiyo. Klabu hiyo inayomilikiwa na Abu Dhabi United Group, kampuni inayomilikiwa na familia ya kifalme ya Abu Dhabi iliyo chini ya Sheikh Mansour ilishtakiwa…