MTAMBO WA KAZI YANGA WAREJEA KAMILI GADO
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama kiungo wa Yanga amerejea uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda kwa kuwa hakuwa fiti. Chama alipata maumivu ya mkono katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe uliochezwa Desemba 14 2024 na ubao ukasoma TP Mazembe 1-1 Yanga. Bao la Yanga lilifungwa na Prince…