Super Heli Premium: Mchezo Mpya Wenye Kasi Na Maamuzi Ya Papo Kwa Papo

Umeshawahi kufikiria mchezo ambao kila sekunde helikopta inapopaa inaweza kufanya ushindi upande zaidi? Sasa safari hiyo imewasili kupitia Super Heli Premium, mchezo mpya wa kasino mtandaoni unaochanganya burudani, kasi na maamuzi ya papo kwa papo. Mchezaji anaingia kwenye raundi kwa kuchagua kiasi cha dau, kisha helikopta inaanza safari yake. Kadri inavyopaa, odds zinaendelea kuongezeka, hivyo…

Read More

Bodi ya Ligi Yatembeza Faini Polisi na Geita Gold, Massanza Apigwa Faini ya Mil 10

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza adhabu mbalimbali dhidi ya klabu, viongozi na waamuzi kutokana na makosa yaliyotokea katika michezo ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27. Katika taarifa iliyotolewa Septemba 4, 2026, TPLB imesema adhabu hizo zimehusisha makosa ya nidhamu, kuchelewa uwanjani, kukiuka taratibu za mechi pamoja na udhibiti wa waandishi wa…

Read More