
YANGA KUKIPIGA MKWAKWANI, SIMBA MANYARA NUSU FAINALI YA FA
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali tayari eneo ambalo timu hizo zitachezwa limewekwa wazi hivyo kila mmoja ameshatambua wapi atakuwa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup ni Yanga hawa watacheza na JKT Tanzania, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwenye msako wa mshindi atakayetinga hatua ya fainali. Ikumbukwe kwamba…