PEP GUARDIOLA NA MKEWE WAACHANA BAADA YA KUDUMU KWA MIAKA 30
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola na mkewe, Cristina Serra wameachana baada ya kudumu kwenye mapenzi kwa muda wa miaka 30. Taarifa za ndoa yao kuvunjika, zimetolewa na Kituo cha Habari cha Sport cha nchini Hispania ambapo imeelezwa kuwa wawili hao wamekuwa wakiishi mbalimbali kwa takribani miaka mitano sasa, Guardiola akiishi Manchester, Uingereza na mtoto…