Paco Jémez Atambulishwa Raja, Kocha Mwenye Uzoefu Wa Hispania, Mexico Na Iran
Klabu ya Raja Casablanca ya Morocco imemtangaza rasmi Mhispania Paco Jémez kuwa kocha mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Mtunisia Fadul Davis ambaye ameondoka kwenye benchi la ufundi baada ya kipindi kifupi cha uongozi. Jémez, mwenye umri wa miaka 56, anaingia Raja akiwa na uzoefu mkubwa katika kazi ya ukocha, hasa katika soka la…