Levante Kwenye Mtihani Mgumu Seville, Betis Wakitafuta Tiketi ya Ulaya

Mchezo huu wa mwisho wa msimu utapigwa Leo May 23 kwenye Uwanja wa La Cartuja, Seville kuanzia saa 22:00 usiku, Uwanja unatazamiwa kuwa na mashabiki wengi wa Betis ambao wanataka kuwaona wachezaji wao wakimaliza msimu kwa ushindi kabla ya kusherehekea kufuzu kwa michuano ya Ulaya. Kwa upande wa mabadiliko ya wachezaji, Diego Llorente na Cucho Hernández wanatarajiwa kurejea kwenye kikosi cha Betis…

Read More

Meridianbet Yaendeleza Upendo kwa Jamii Kupitia Msaada kwa Watoto wa Magomeni

Katika kuendeleza moyo wa kusaidia jamii, Meridianbet imetoa msaada wa vyakula kwa kituo cha watoto cha UMRA Children Center kilichopo Magomeni, Dar es Salaam kama sehemu ya shughuli zake za kijamii. Msaada huo umehusisha bidhaa muhimu za chakula kama mchele, unga, sukari, mafuta ya kupikia pamoja na mahitaji mengine yanayotumika kila siku katika kituo hicho…

Read More

Wachezaji wa Arsenal Waruka Kwa Furaha Baada ya Kutangazwa Mabingwa

Furaha kubwa ilitawala ndani ya kambi ya Arsenal baada ya timu hiyo kutangazwa rasmi kuwa mabingwa kufuatia Manchester City kushindwa kupata ushindi katika mchezo wao dhidi ya Brighton. Arsenal walikuwa tayari wamefanya kazi yao mapema baada ya kuichapa Burnley siku ya Jumatatu, hali iliyoweka presha kubwa kwa Manchester City ambao walihitaji ushindi ili kuendelea kusubiri…

Read More

Mashabiki 60,000 Kuitingisha Emirates Katika Mechi ya Moto Dhidi Burnley leo

Mechi hii inapigwa saa 22:00 kwa muda Uwanja wa Emirates utakuwa umejaa hadi kifusi kwa takriban mashabiki 60,000, nao wanajulikana kwa kuimba nyimbo maalumu za kusukuma timu yao wakati wa mbio za ubingwa. Kwa upande wa Burnley kwa kuwa wameshashuka daraja, mashabiki wao watakuja. Lakini shinikizo la Emirates litakuwa kubwa Arsenal wakichelewa kufunga, mashabiki wanaweza…

Read More