Skip to content
Wednesday, June 17, 2026
  • Saudi Arabia Yaahidi Tiketi Nafuu na Usalama kwa Kombe la Dunia 2034
  • Bernardo Silva Asajiliwa Real Madrid kwa Mkataba wa Miaka Miwili
  • Messi Ang’ara kwa Hat-Trick, Argentina Yaichapa Algeria 3-0 Kombe la Dunia
  • Road to Glory Yawasha Moto kwa Mashabiki wa Kasino Mtandaoni

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Saudi Arabia Yaahidi Tiketi Nafuu na Usalama kwa Kombe la Dunia 2034
  • Bernardo Silva Asajiliwa Real Madrid kwa Mkataba wa Miaka Miwili
  • Messi Ang’ara kwa Hat-Trick, Argentina Yaichapa Algeria 3-0 Kombe la Dunia
  • Road to Glory Yawasha Moto kwa Mashabiki wa Kasino Mtandaoni

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • International
  • Page 6

International

  • International
  • Sports

Simba vs Coastal Kupigwa Arusha, Yanga vs Azam Wapelekwa Mwanza

Saleh1 month ago01 mins

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi viwanja vitakavyotumika kwa michezo ya Nusu Fainali ya michuano ya CRDB Federation Cup msimu wa 2025/26. Mchezo wa kwanza utawakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Coastal Union FC ambapo utapigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Juni 20, 2026. Kwa upande mwingine, mabingwa watetezi…

Read More
  • International
  • Sports

Kauli ya Salah Yamuibua Rooney, Amtaka Slot Amuache Benchi

Saleh1 month ago02 mins

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshukia vikali mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, akimuita ‘mbinafsi’ na kueleza kuwa anapaswa kuachwa nje ya kikosi kwenye mechi ya mwisho ya msimu dhidi ya Brentford itakayochezwa Anfield. Kauli ya Rooney imekuja baada ya Salah kutoa maoni kuwa Liverpool inapaswa kurejea kuwa timu ya mashambulizi ya kasi…

Read More
  • International
  • Sports

Mo Dewji Aongeza Morali Simba Kuelekea Hatua za Mwisho za Msimu

Saleh1 month ago01 mins

Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji, leo amekutana na kufanya mazungumzo na wachezaji pamoja na benchi la ufundi la klabu hiyo ikiwa ni sehemu ya kuwapa hamasa kuelekea michezo ya mwisho ya msimu. Katika kikao hicho, Mo Dewji aliwataka wachezaji waendelee kupambana kwa kujituma ili kuhakikisha timu inamaliza msimu kwa mafanikio…

Read More
  • International
  • Sports

Xabi Alonso Afikia Makubaliano Kuinoa Chelsea kwa Miaka Minne

Saleh1 month ago02 mins

Klabu ya Chelsea FC ipo hatua za mwisho kumtangaza kocha Mhispania Xabi Alonso kuwa meneja mkuu mpya wa kudumu wa timu hiyo baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya awali ya mkataba wa miaka minne. Alonso mwenye umri wa miaka 44 anatarajiwa kuchukua nafasi ya Liam Rosenior aliyefutwa kazi mwezi uliopita, huku taarifa rasmi zikitarajiwa kutolewa…

Read More
  • International
  • Sports

Ronaldo Aendelea Kusota na Mataji Al Nassr, Gamba Osaka Mabingwa AFC Champions League Two

Saleh1 month ago01 mins

Nyota wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameendelea kusubiri taji rasmi akiwa na Al Nassr FC baada ya klabu hiyo kupokea kipigo cha 1-0 dhidi ya Gamba Osaka katika fainali ya michuano ya AFC Champions League Two iliyopigwa kwenye dimba la Al Awwal Park mjini Riyadh, Saudi Arabia. Bao pekee la mchezo lilifungwa dakika ya…

Read More
  • International
  • Sports

USM Alger Yabeba Ubingwa Kombe la Shirikisho kwa Mara ya Pili, Che Malone Aandika Historia

Saleh1 month ago01 mins

Klabu ya USM Alger imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa mara ya pili katika historia yao baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Zamalek SC kwenye mchezo wa fainali uliopigwa mjini Cairo. Mchezo huo ulimalizika kwa ushindi wa 1-0 kwa Zamalek ndani ya dakika 90 kupitia…

Read More
  • International
  • Sports

Fainali ya CAFCC Kutimua Vumbi Cairo Usiku wa Leo

Saleh1 month ago01 mins

Pazia la michuano ya CAF Confederation Cup msimu wa 2025/26 linafungwa rasmi leo Mei 16, 2026, kwa mchezo wa mkondo wa pili wa fainali utakaopigwa katika dimba la Cairo International Stadium nchini Misri. Mchezo huo unawakutanisha wenyeji Zamalek SC dhidi ya USM Alger, katika pambano la kusisimua litakaloanza majira ya saa 3:00 usiku. Huu ni…

Read More
  • International
  • Sports

Manchester United Yamthibitisha Michael Carrick Kuwa Kocha Mkuu

Saleh1 month ago02 mins

Manchester United wamefikia makubaliano ya kumteua Michael Carrick kuwa kocha mkuu wa kudumu wa klabu hiyo baada ya kufanya vizuri tangu apewe jukumu la muda mwezi Januari. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, taratibu rasmi za kubadilishana mikataba zinaendelea kwa sasa huku tangazo rasmi likitarajiwa kutolewa ndani ya saa 48 zijazo. Hata hivyo, bado haijafahamika kama…

Read More
  • International
  • Sports

Chelsea vs Manchester City Kutimua Vumbi Fainali ya FA Cup

Saleh1 month ago02 mins

Fainali ya FA CUP inaenda kutimua vumbi wiekndi hii siku ya Jumamosi katika dimba la Wembley huku hili likiwa ni Kombe la heshima kwa timu hizi mbili Chelsea vs Man City pale Uingereza. Hii ni mechi ambayo inaenda kuwa ya moto zaidi kwani hili ni moja ya pambano la kihistoria ambalo linaenda kutokea kutokana mbinu…

Read More
  • International
  • Sports

Gates of Arabia Yaleta Mamilioni kwa Wachezaji wa Meridianbet

Saleh1 month ago1 month ago02 mins

Kama tunavyojua, leo ni siku ya mapumziko, ni siku ya kutokutumia nguvu lakini haimaanishi kwamba usitafute pesa siku ya leo. Kuwa wa kisasa kwa kuzisaka pesa bila matumizi ya nguvu kwa kucheza Gates of Arabia kutoka Meridianbet. Huku unajipigia tu pesa bila kutoka ulipokaa, ni raundi chache tu ndani ya mchezo na unakua tajiri kwelikweli….

Read More
  • International
  • Sports

Yanga SC na GSM Waingia Ubia Mkubwa wa Ujenzi wa Uwanja – Video

Saleh1 month ago02 mins

Uongozi wa klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imetangaza rasmi kuingia katika hatua mpya ya kihistoria ya ujenzi wa uwanja wake binafsi, ndoto ambayo imekuwa ikiota mizizi kwa takribani miaka 90 ya historia ya klabu hiyo. Akizungumza kuhusu mradi huo, Mwenyekiti wa klabu hiyo Eng. Hersi Ally Said amesema uongozi na wanachama wa…

Read More
  • International
  • Sports

Manchester United Yazindua Jezi Mpya Zenye Ladha ya Historia ya Miaka ya 1970

Saleh1 month ago01 mins

Klabu ya Manchester United imetambulisha rasmi jezi zake mpya za nyumbani kwa ajili ya msimu ujao wa 2026/27, ambapo timu hiyo itashiriki Ligi Kuu ya England pamoja na Ligi ya Mabingwa Ulaya na mashindano mengine ya ndani. Jezi hizo, zilizotengenezwa kwa ushirikiano na kampuni ya Adidas, zimebuniwa kwa mtindo wa kisasa huku zikichochewa na muonekano…

Read More
  • International
  • Sports

Real Madrid Kuwakaribisha Real Oviedo Bernabéu Katika Mechi ya La Liga

Saleh1 month ago02 mins

Leo Alhamisi Mei 14, saa 22:30, uwanja wa Santiago Bernabéu utakuwa mwenyeji wa Real Madrid dhidi ya Real Oviedo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uhispania, La Liga, wa dakika 90. Real Madrid wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wakiwa na pointi 77 baada ya mechi 34, wakiwa wana uwezekano wa kumaliza msimu katika nafasi…

Read More
  • International
  • Sports

Real Madrid Wafunguka, Mbappé Hauzwi Licha ya Tetesi za Migogoro

Saleh1 month ago02 mins

Real Madrid CF wameweka msimamo thabiti kuhusu mustakabali wa Kylian Mbappé huku tetesi zikiongezeka kuhusu changamoto za tabia na mabadiliko yake tangu kujiunga na klabu hiyo. Ripoti mbalimbali zinaeleza kuwa ndani ya klabu kumekuwa na mijadala kuhusu namna nyota huyo wa Ufaransa alivyojumuika na kikosi, lakini uongozi wa Real Madrid umeamua wazi kwamba hakuna mpango…

Read More
  • International
  • Sports

Shangwe Za Ubingwa Zageuka Majonzi! Al-Hilal Waokoa Sare Ya Drama Dakika Za Mwisho!

Saleh1 month ago01 mins

Mashabiki wa soka duniani wamebaki MIDOMO WAZI baada ya dabi kali ya Riyadh kati ya Al-Nassr FC na Al-Hilal SFC kumalizika kwa sare ya 1-1 kwenye uwanja wa Al-Awwal Park! Kila kitu kilionekana kwenda upande wa Cristiano Ronaldo baada ya Mohamed Simakan kufunga bao safi dakika ya 37 kupitia krosi ya Kingsley Coman. Mashabiki wa…

Read More
  • International
  • Sports

Mashabiki West Ham Wakerwa na Uamuzi wa VAR Dhidi ya Arsenal

Saleh1 month ago02 mins

Mashabiki wa West Ham United F.C. wameonyesha hasira kubwa kufuatia uamuzi tata wa VAR uliowanyima bao la kusawazisha katika mchezo dhidi ya Arsenal F.C. uliomalizika kwa ushindi wa mabao 1-0 kwa Arsenal. Katika dakika ya 95, Callum Wilson alifunga bao lililoonekana kuisawazishia West Ham lakini mwamuzi Chris Kavanagh alilibatilisha baada ya ukaguzi wa VAR kubaini…

Read More
  • International
  • Sports

Barcelona Yatwaa Ubingwa wa LaLiga Baada ya Kuifunga Real Madrid El Clasico

Saleh1 month ago01 mins

FC Barcelona imetwaa ubingwa wa La Liga kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Real Madrid CF, katika mchezo wa El Clasico uliopigwa kwenye dimba la Camp Nou. Barcelona imeandika historia kwa kutwaa taji hilo la 29 la LaLiga kwa namna ya kipekee,…

Read More
  • 1
  • …
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • …
  • 74
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.