FIFA Yathibitisha Ushiriki wa Iran Kombe la Dunia 2026 Licha ya Mvutano wa Kisiasa

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni, (FIFA), Gianni Infantino amethitibitisha kuwa Iran itashiriki mashindano ya Kombe la Dunia 2026 inayotarajiwa kuanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 licha ya mvutano kijiografia na kisiasa baina ya Marekani, Israel na Iran. Akizungumza kwenye Mkutano wa 76 wa FIFA huko Vancouver mnamo Aprili 30, 2026, Infantino alisema bila…

Read More

Sancho Aanza Kuvutia Soko, Klabu Italia Yaingia Kwenye Mbio

Maslahi ya kumtaka mshambuliaji wa Manchester United, Jadon Sancho, yanaendelea kuongezeka huku klabu mbalimbali zikianza kuonyesha nia ya kumsajili kuelekea dirisha la usajili la majira ya kiangazi. Kwa mujibu wa ripoti za Sky Sports, klabu moja kutoka Italia ambayo haijatajwa jina tayari imefanya mawasiliano ya awali kuulizia uwezekano wa kumsajili nyota huyo. Wakati huohuo, Borussia…

Read More

Man United Wajiandaa Kushtua Soko la Usajili kwa Mabadiliko Makubwa

Manchester United inaripotiwa kupanga mageuzi makubwa ya kikosi chake katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya joto, ikiwa na orodha ya wachezaji tisa wanaofuatiliwa kwa karibu ili kuimarisha maeneo muhimu ya uwanja. Kwa mujibu wa taarifa, moja ya majina yanayoongoza kwenye orodha hiyo ni kiungo wa Brighton & Hove Albion, Carlos Baleba, ambaye Manchester…

Read More

Manchester City Yashinda 2-1 Dhidi ya Arsenal FC, Erling Haaland Aibeba Timu Kwenye Mbio za Ubingwa

Erling Haaland ameibuka shujaa wa Manchester City baada ya kufunga bao la ushindi lililoihakikishia timu yake ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Arsenal FC, matokeo yaliyotikisa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England. City walianza kwa kasi na kupata bao la kwanza kupitia Rayan Cherki, aliyefunga bao la kuvutia baada ya kupita mabeki kadhaa…

Read More