DR Congo Yatinga World Cup, Yakutana na Portugal na Colombia Kundi I
Timu ya Taifa ya DR Congo National Football Team, maarufu kama The Leopards, imeandika historia kwa kufuzu FIFA World Cup 2026 baada ya ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Jamaica National Football Team katika mchezo wa mchujo uliochezwa alfajiri ya leo nchini Mexico. Bao pekee la ushindi lilifungwa dakika ya 100 na Axel Tuanzebe, katika…