Fountain Gate Academy kuanzisha chuo cha michezo
Fountain Gate Academy Tanzania iko katika hatua za kuanzisha chuo cha michezo kitakachojulikana kama Fountain Gate Institute of Sports and Talent Development, ambapo tawi la kwanza linatarajiwa kufunguliwa Babati, Manyara, hivi karibuni. Kupitia taasisi hii, Fountain Gate Academy inalenga kuimarisha zaidi programu zake za michezo, hususan Football Development, kwa kuhakikisha vijana wanapata mafunzo ya kisasa,…