Kamilisha Ndoto Zako na Super Heli Kasino

Hapo mwanzo baada ya kuutambulisha mchezo wa Super Heli ambao namba moja pendwa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni, wengi walikuwa wanauchukulia poa poa tu lakini leo nataka nikujuze usichokifahamu kingine kwenye mchezo huu. Pale Meridianbet kuna michezo mingi sana ya kasino, kuna Aviator, Poker, Roulette nk lakini huu umekuwa gumzo kwa wachezaji wote walioweka…

Read More

MWANANYAMALA YAFIKIWA SIKUKUU YA WANAWAKE

Sikuku ya wanawake duniani imekua ni baraka kwa wakina Mama wanaojishughulisha na ujasiriamali mdogo katika soko la Mwananyamala, Ambapo kampuni ya Meridianbet iliwafikia na kutoa msaada katika eneo hilo. Meridianbet walifanikiwa kufika eneo la Mwananyamala sokoni na kutoa msaada wa vyakula kwa kina Mama wanaofanya biashara katika soko hilo, Hii ni katika kuhakikisha wanathamini mchango…

Read More

ALIKIBA AZINDUA KITUO CHA REDIO

Mwanamuziki wa Tanzania Alikiba amezindua kituo cha redio kwa jina “Crown FM”. Uzinduzi huo ulifanyika usiku wa Jumamosi Machi 9 2024 katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dare es Salaam kwenye sherehe ya miaka 20 ya Kiba katika muziki. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Kiba alielezea kwamba vyombo vya habari ni muhimu ndivyo vimemkuza kama mwanamuziki…

Read More

YANGA KUWAFUATA WAARABU WA MISRI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Ahly ya Msiri unaotarajiwa kuchezwa Machi Mosi 2024 huku wakiwa kamili gado kuwafuata wapinzani wao kwenye mchezo huo. Ali Kamwe ambaye alipata changamoto ya kiafya muda mfupi baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…

Read More

HESABU ZA YANGA KIMATAIFA ZIPO HIVI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi haijaisha kwenye mechi za kimataifa hivyo wataendelea kufanya maandalizi kuwa imara kwa mechi zinazofuata. Yanga ni timu ya kwanza kwenye ardhi ya Tanzania kutinga hatua ya robo fainali ikiwa na mchezo mmoja mkononi huku watani zao wa jadi Simba wakiwa na kibarua Machi 2 kutambua hatma…

Read More

TABORA UNITED NGUVU ZAO NI FA SASA

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa kwa sasa wameanza maandalizi kuelekea mchezo wao wa Azam Sports Federation dhidi ya Nyamongo kutoka Musoma. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita katika Ligi Kuu Bara uliochezwa Februari 19 ubao ulisoma Tabora United 0-0 Azam FC wakagawana pointi mojamoja. Pointi moja kwa Azam FC imewapa jumla ya pointi 36…

Read More