KITAWAKA LEO MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO, SENEGAL, DR CONGO, MALI, EGYPT MAMBO NI MOTO!

Leo hii Senegal, DR Congo, Mali, Egypt na timu nyingine kibao zinashuka dimbani kusaka pointi tatu kwaajili ya kujiandaa na Kombe la Dunia 2026. Nani unamdhamini kukupatia maokoto?. Suka jamvi lako na merdiainbet sasa.

Senegal yenye kikosi cha ushindi kitakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya DR Congo. Timu hiyo ina wachezaji wazoefu na ambao wanacheza ligi kubwa Duniani, kama vile Pape Sarr, Nicolas Jackson, Nampalys Mendy, Mane na wengine kibao. Simba wa Teranga wanashika nafasi ya 1 huku DR akiwa nafasi ya 3. Mwenyeji aliishia hatua ya makundi Afcon huku mgeni akifika Nusu Fainali. Mechi hii imepewa ODDS 1.36 kwa 7.84. Mechi ya mwisho kukutana akina Sadio Mane walishinda. Je leo mgeni atalipa kisasi?. Bashiri sasa.

Ubabe mwingine leo utakuwa kwenye mechi hii ya Egypt ya Mohamed Salah ambayo ipo nafasi ya 1 ambao wao watakuwa wenyeji wa Burkina Faso ya Aziz Ki ambayo ipo nafasi ya 2 kwenye kundi. Egypt haikufanya vizuri Afcon lakini imeshinda mechi zake zote mbili kwenye kundi na mgeni ameshinda mchezo mmoja na sare moja. Mara ya mwisho kukutana, ilikuwa ni 2017 ambapo walitoa sare. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.42 kwa 6.86. Beti hapa.

Vilevile Congo Republic ambaye yupo nafasi ya 5 kwenye kundi  atakuwa mwenyeji wa Niger ambaye yupo nafasi ya 3. Mechi ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao huku kule kw ambaingwa Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.67 kwa 5.48. Wewe beti yako unampa nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Huku kwa upande wa Guinea-Bissau yeye atachuana vikali na Ethiopia. Ikumbukwe kuwa Guinea alikuwa na kiwango kizuri sana kwenye Afcon mwaka jana hivyo lazima atafute ushindi kwaajili ya kushiriki Kombe la Dunia. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana hivi karibuni, lakini 1.57 na 6.07 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.

Ligi mbalimbali kuchezwa leo ingia meridianbet na ubashiri sasa, lakini kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Libya atakuwa uso kwa uso dhidi ya Mauritius ambayo ilikuwa ni miongoni mwa timu iliyosumbua Afcon. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 kwenye msimamo huku mgeni akiwa nafasi ya 5, tofauti ya pointi tatu. Mechi ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Ingia na usuke mkeka wako hapa.

Meridianbet inakupa pesa ndefu mechi hii ya Algeria dhidi ya Guinea ambaye alifika robo fainali Afcon mwaka jana. Algeria ya kina Mahrez yeye aliishia makundi pekee huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliibuka mshindi. Je leo hii nani kuondoka na ubabe ambapo pointi tatu ni muhimu kwa kila timu?. Suka mkeka wako mechi hii yenye ODDS 1.50 kwa 5.88.

Huku Mali ambayo ina wachezaji wakubwa kama vile Duambia, Toure, Diara na wengine kibao watakuwa dimbani kumenyana dhidi ya Ghana ambayo nayo pia ina kikosi kikali, yaani hii mechi ni balaa. Meridianbet wanampandelea mwenyeji kuondoka na ushindi kwa ODDS 2.01 kwa 3.57. Je mgeni mwenye wachezaji kama Kudus, Jordan Ayew, Tariq Lamptey na wengine kibao atatoboa?. Beti mechi hii.

Wakati Benin yeye atakipiga dhidi ya Rwanda ambaye ndiye kinara wa kundi C akiwa na pointi zake 4 akishinda mechi moja na sare moja. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 huku nafasi ya kuchukua pointi tatu akipewa Benin kwa ODDS 2.10 kwa 3.52. Wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.