
YANGA WAPOKEA KWA MSHTUKO KIFO CHA YUSUF MANJI, WATOA POLE KWA FAMILIA
Uongozi wa Yanga umesema umepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarita ya kifo cha aliyewahi kuwa Mdhamini na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji. Taarifa iliyotolewa na Club hiyo imesema Kifo cha Manji kimetokea leo June 30, 2024 Nchini Marekani alipokuwa akipatiwa matibabu. Rais wa Yanga, Eng Hersi Said amesema enzi za uhai wake, Yusuf…