SINZA UZURI YAFIKIWA NA MERIDIANBET

Leo imekua siku nzuri kwa familia kadhaa katika eneo la Sinza Uzuri ambapo Meridianbet wamefika katika eneo hilo wakihakikisha wanarejesha furaha kwa familia hizo kwa kutoa mahitaji ambayo yatawasaidia. Meridianbet leo wamefika eneo la Sinza Uzuri jijini Dar-es-salaam na kuhakikisha wanatoa msaada wa mahitaji ya chakula kwa familia kadhaa ambazo hazina uwezo wa kutosha, Hii…

Read More

MR BLUE NI KABISA MKALI

UKIZUNGUMZIA Bongo Fleva kuna majina mengi yanapita yamefanya mapinduzi makubwa ikiwa ni pamoja na Sugu ambaye huyu ni muziki wa Hip Hop kiujumla alileta mageuzi makubwa ukiigusa ile ngoma ya Miaka 18 anasema ilikuwa ni stori ya kweli akaituma kwa jamii kupitia nyimbo. Legend Dully Sykes huyu alileta mtindo wa Mwanasesere kisha Bongo Fleva ikaanza…

Read More

Meridianbet Inasema Pinga Ukatili kwa Wanawake Okoa maisha

Katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake, Meridianbet inaungana na watu wote kuhakikisha kuwa inasimama ngangari kuwalinda wanawake wote. Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake, inayofanyika kila mwaka tarehe 25 Novemba ambapo katika kuadhimisha siku hii muhimu, Meridianbet imezindua kampeni maalum ya kijamii ya “PINGA UKATILI, SIMAMA NA…

Read More

🔴#BREAKING: KARIAKOO -GHOROFA LILILOANGUKA NA KUUA WATU TAZAMA KINACHOENDELEA MUDA HUU

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema zoezi la uokoaji kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika eneo la Soko la Kimataifa la Kariakoo linaendelea tangu kutokea kwa ajali hiyo na halikusitishwa kama baadhi ya taarifa zilivyoenea mitandaoni. Akizungumza akiwa Kariakoo Chalamila amesema kuna watu bado wapo chinii, hivyo waokoaji…

Read More

KING KIKII WA ‘KITAMBAA CHEUPE’ AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki Mkongwe Boniface Kikumbi Mwanza Mpango ‘King Kikii’ amefariki dunia. Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 15 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa akipatiwa matibabu King Kikii atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika muziki wa dansi Tanzania. Kwa miaka mingi ameburudisha, amefundisha na kuelimisha jamii kupitia…

Read More

BREAKING: GRACE MAPUNDA (TESSA) AFARIKI DUNIA

Habari za kusikitisha zilizotufikia asubuhi hii ya Novemba 2, 2024 zinaeleza kuwa, muigizaji nguli wa Bongo Movies, Grace Mapunda almaarufu Tessa anayeng’ara kwenye Tamthiliya ya Huba amefariki dunia. GLOBAL TV imezungumza na Meneja Uzalishaji (Production Manager) wa Huba Series aitwaye Saffi ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba huo mzito. Saffi amesema Tessa amefariki dunia alfajiri ya…

Read More