HARMONIZE KUNUNUA MAHITAJI MUHIMU YA HANANG

MWANAMUZIKI Rajabu Abdul maarufu kwa jina la Harmonize amewaagiza wasimamizi wake Chopa na Jembe ni Jembe kutumia fedha ambazo amelipwa kwa ajili ya tamasha lililofanyika Manispaa ya Kahama, Shinyanga kutumika kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu yatakayopelekwa kwa waathirika wa maporomoko ya matope yaliyotekea Hanang Mkoa wa Manyara. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye ukurasa wake wa…

Read More

DEREVA WA CHINO AFARIKI

DEREVA aliyekuwa akiendesha gari alilokuwa akisafiria msanii na dansa maarudu, Chino Kid aitwaye Nabeel, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu, kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo. Mmoja wa watu wa karibu wa Chino Kid, Prodyuza Abbah Process kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, ameandika: ‘Rest in Peace Brother, tumepoteza mwanafamilia mmoja aliyekuwa kwenye ajali…

Read More

Shangwe Kubwa La Bodaboda Lasababishwa Na Meridianbet

Shangwe shangwe shangwe tu katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar es salaam baada ya bodaboda kufikiwa na Meridianbet na kupatiwa reflectors ambazo zitawasaidia wanapoendesha pikipiki nyakati zote lakini pia kwa kushirikiana na Polisi wa usalama barabarani wameweza kufanikisha zoezi hilo. Zoezi hilo limekuja kwa kusindikizwa na kampeni ya kuvutia kabisa inayoitwa “Mtaa kwa mtaa” inayolenga…

Read More

SLOTI YA VENI VIDI VICI INAKUPA USHINDI MARA 1000

Sub-Heading: Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Ikiwa unafurahia michezo inayoelezea mambo ya kale, Meridianbet kasino ya mtandaoni wana zawadi…

Read More

YANGA, WINGA BAMAKO MAMBO SAFI

KWA mara ya pili Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amekutana na winga Real Bamako ya nchini Mali, Cheickna Diakite na kufanya naye kikao cha siri. Jana baada ya mchezo huo, kigogo wa Yanga alimwambia mwandishi wa gazeti hili kuwa, Diakite ni mchezaji mzuri ambaye amekuwa akimfuatilia tangu zamani kwa lengo la kumsajili kikosini…

Read More

UNAMBIWAJEE UNAPOCHEZA SLOTI YA AVIATOR-MERIDIANBET UNAPATA MIZUNGUKO 500 YA BURE KILA SIKU

Haijawahi kuwa kinyonge pale Meridianbet wanapoanzisha jambo lao, mwezi huu tena wamekuja na sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unambiwa sloti hii inatoa hela balaa unaanzaje kuikosa hii. Kwa dau la kuanzia Tsh 200 unaweza kuizalisha na kuwa mamilioni ya hela kupitia mizunguko 500 ya bure inayotolewa kila siku baada ya…

Read More