PATASHIKA HII HAPA BONGO, KITAWAKA
PATASHIKA Bongo haijawahi kupoa kutokana na kila timu kuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja katika dakika 90 za kazi. Ni Mzizima Dabi mchezo utakaowakutanisha wapinzani wawili Azam FC na vinara wa ligi kwa sasa msimu mpya wa 2024/25 Simba. Ikumbukwe kwamba Azam FC, Septemba 7 ilimtangaza Rachid Taoussi raia wa Morocco kuwa…