ALI KAMWE AFICHUA HASIRA ZAO WATAMMALIZIA AL HILAL – ”TUNATAKA KUMTUMIA KAMA MFANO”…
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan.
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan.
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kocha mpya wa timu hiyo raia wa Ujerumani amekuja na aina mpya ya kucheza inayokwenda kwa jina la gusa achia twende kwao. Ni Sead Ramovic huyu ni mrithi wa mikoba ya Miguel Gamondi ambaye kwenye Ligi Kuu Bara aliongoza kikosi kwenye mechi 10 msimu wa 2024/25, ushindi mechi 8 na…
Manchester City imepoteza mechi mfululizo kwenye michuano yote baada ya kukubali kichapo cha 2-1 dhidi ya Brighton katika dimba la AMEX. FT: Brighton 2-1 Man City ⚽ 78’ Pedro ⚽ 83’ Pedro ⚽ 23’ Haaland Kipigo hicho kinaibakisha Man City nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England pointi 23 baada ya mechi 11…
777 Super Strike ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma wa Red Tiger. Katika mchezo huu, unatarajia kufurahia bonasi kibao kama vile mizunguko ya bure, huku ukijiweka kwenye nafasi ya kushinda endapo utapata Majokeri wengi. JISAJILI NA MERIDIANBET uweze kufurahia mchezo huu rahisi. 777 Super Strike ni Sloti inayopatika kwenye Kasino Mtandaoni ya…
CLEMENT Mzize mshambuliaji wa Yanga ana maajabu yake ndani ya Bongo kutokana na kupenya katika kikosi cha kwanza mbele ya miamba Prince Dube, Jean Baleke, Kennedy Musonda ambao wote ni washambuliaji akiwa na kazi kubwa ya kufanya kutimiza majukumu yake. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Mzize alianzia benchi na alipopata nafasi…
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva ameweka wazi kuwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni ya kila mmoja hivyo anayepewa nafasi ya kuitwa ana nafasi ya kupeperusha vema bendera ya Tanzania. Msuva hayupo kwenye orodha ya wachezaji waliochaguliwa kuunda kikosi cha Stars kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025 Morocco…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Clatous Chama ameliamsha balaa upya kutokana na mwendelezo wake wa ubora kwenye anga la kimataifa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Chama amekuwa gumzo kwa kuwa kwenye mchezo dhidi ya Vital’O uliochezwa Uwanja wa Azam Complex waliposhinda mabao…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kuna uwezekano akakosekana kwenye mchezo ujao wa ligi. Ni nyota Joshua Mutale yeye kwa upande wake mambo bado kutokana na kutokuwa fiti kwa sasa wakati timu hiyo ikiwa kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Fountain Gate. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo…
Expanse na Meridianbet ni mapacha kwa sasa unaweza kuvuna Mamilioni kwa kucheza michezo ya kasino kutoka Expanse. Jisajili na Meridianbet kufurahia promosheni kibao Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea….
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Betwinner imezinduliwa rasmi nchini Tanzania, ikileta fursa mpya na za kipekee kwa wateja wa michezo ya kubahatisha. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi, Mkurugenzi Mkuu wa Betwinner, Jesse Ndambala, amesema kuwa ujio wao umelenga kuwapa wateja Odds nzuri zaidi kulinganisha na kampuni nyingine za kubashiri. Ndambala amesisitiza kuwa Bet Winner…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji wenye uwezo wapo ndani ya timu. Ipo wazi kuwa Yanga msimu wa 2023/24 walitwaa taji la Ligi Kuu Bara, CRDB Federation Cup na iligotea hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ali…
Shinda mpaka mara 800 kwa dau lako unapocheza kasino, mchezo wa KARATA maarufu duniani, unaitwa Magic Poker unapatikana Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Jisajili ushinde. Magic Poker ni mchezo mpya wa poker kutoka kasino ya mtandaoni ya meridianbet, uliotengenezwa na kampuni ya Wazdan Casino. Odds kubwa zitokanazo na kupata mikono mizuri ya poker na bonasi maalum…
Promosheni ya Shindano la Expanse kupitia Kasino ya Mtandaoni Meridianbet, bado inaendelea na una weza kushinda mgao wako wa Tsh Milioni 2,500,000/=, sharti ni moja tu kuchezo mmchezo wowote wa Expanse iliyopo Meridianebet Kasino. Jisajili Meridianbet kuwa sehemu ya washindi. Michezo ya Kasino inaweza kukufanya uwe tajiri, ambapo Meridianbet watatoa bonasi za kasino kwa washindi…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa msimu ujao kikosi hicho kitakuwa ni balaa kutokana na maboresho ambayo yatafanyika kwenye kila idara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi wakiwa na pointi 80 baada ya kucheza mechi 30 huku mfungaji bora akiwa ni Aziz KI mwenye mabao 21 akifuatiwa na Feisal Salum mwenye mabao 19…
Leo hii Senegal, DR Congo, Mali, Egypt na timu nyingine kibao zinashuka dimbani kusaka pointi tatu kwaajili ya kujiandaa na Kombe la Dunia 2026. Nani unamdhamini kukupatia maokoto?. Suka jamvi lako na merdiainbet sasa. Senegal yenye kikosi cha ushindi kitakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya DR Congo. Timu hiyo ina wachezaji wazoefu na ambao wanacheza ligi…
NYOTA wa Simbaa baada ya kumaliza kete yao ya 29 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC wamerejea Dar kwa maandalizi ya kete ya mwisho msimu wa 2023/24. Ni Mei 25 ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya dakika 90 ulisoma Simba 1-0 KMC. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo…
YANGA vinara wa Ligi Kuu Bara wana balaa zito kutokana na kasi yao kuwa kwenye ubora kwenye mechi ambazo wanacheza msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa msimu wa 2023/24 walitwaa taji hilo baada ya kufikisha pointi 71 mchezo wao wa 27 dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu. Kwenye mchezo wa…