Real Madrid Yawatoza Faini Valverde na Tchouaméni

Real Madrid imeripotiwa kuwatoza faini ya euro 500,000 kila mmoja viungo wake Federico Valverde na Aurélien Tchouaméni kufuatia kuhusishwa katika mzozo uliotokea wakati wa mazoezi ya timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, wawili hao waliingia kwenye mabishano makali wakati wa mazoezi yenye ushindani mkubwa, kabla hali hiyo haijageuka kuwa ya vurugu na kuwalazimu makocha…

Read More

Wachezaji Man United Waendelea Kumsifia Carrick Baada ya Matokeo Mazuri

Matheus Cunha ameendelea kumiminia sifa kocha wa muda wa Manchester United, Michael Carrick, akisema anastahili kupewa kibarua cha kudumu kutokana na matokeo na mchango wake mkubwa ndani ya klabu hiyo. Carrick, ambaye aliwahi kuwa kiungo tegemeo wa Manchester United kwa zaidi ya mechi 400 akiwa mchezaji, amerudi Old Trafford kama kocha na ameonekana kuibadilisha timu…

Read More

Kitawaka Kesho Jumapili Manchester United vs Liverpool, Vita ya kufuzu Ligi ya Mabingwa

Manchester United vs Liverpool inatarajiwa kuwa moja ya mechi kubwa zaidi ya msimu, huku pande zote mbili zikiwania nafasi muhimu ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya. Manchester United wanahitaji pointi mbili pekee kuhakikisha wanamaliza katika nafasi ya juu inayowapa tiketi ya Ulaya. Kwa sasa wako nafasi ya tatu, wakiwa mbele ya wapinzani wao kwa pointi…

Read More

FIFA Yathibitisha Ushiriki wa Iran Kombe la Dunia 2026 Licha ya Mvutano wa Kisiasa

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni, (FIFA), Gianni Infantino amethitibitisha kuwa Iran itashiriki mashindano ya Kombe la Dunia 2026 inayotarajiwa kuanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 licha ya mvutano kijiografia na kisiasa baina ya Marekani, Israel na Iran. Akizungumza kwenye Mkutano wa 76 wa FIFA huko Vancouver mnamo Aprili 30, 2026, Infantino alisema bila…

Read More

Sancho Aanza Kuvutia Soko, Klabu Italia Yaingia Kwenye Mbio

Maslahi ya kumtaka mshambuliaji wa Manchester United, Jadon Sancho, yanaendelea kuongezeka huku klabu mbalimbali zikianza kuonyesha nia ya kumsajili kuelekea dirisha la usajili la majira ya kiangazi. Kwa mujibu wa ripoti za Sky Sports, klabu moja kutoka Italia ambayo haijatajwa jina tayari imefanya mawasiliano ya awali kuulizia uwezekano wa kumsajili nyota huyo. Wakati huohuo, Borussia…

Read More