Azam FC vs Simba SC fomu ya timu na H2H

Septemba 16, 2026 ni Mzizima Dabi, Azam FC vs Simba SC, Uwanja wa Azam Complex, saa 1:00 usiku. Hapa tumekuletea mechi 5 za hivi karibuni kwa timu hizi mbili na H2H

Mechi 5 za Simba SC
13/09/2026, Simba SC 6-1 Mighty Wanderers
06/09/2026, Mighty Wanderers 0-1 Simba SC
31/08/2026, Simba SC 2-0 Geita Gold
27/08/2026, Simba SC 1-0 Coastal Union
22/08/2026, Singida Black Stars 1-2 Simba SC

Mechi 5 za Azam FC
07/09/2026, Azam FC 2-0 Namungo FC
31/08/2026, Kagera Sugar 0-2 Azam FC
28/08/2026, Geita Gold 2-2 Azam FC
23/08/2026, Azam FC 2-1 Pamba Jiji FC
20/08/2026, Azam FC 2-1 Tabora United

Mechi 7 Azam FC vs Simba SC

05/04/2026, Azam FC 0-0 Simba SC
07/12//2025, Simba SC 0-2 Azam FC
24/02/2025, Simba SC 2-2 Azam FC
26/09/2024, Azam FC 0-2 Simba SC
09/05/2024, Azam FC 0-3 Simba SC
09/02/2024, Simba SC 1-1 Azam FC
21/02/2023, Simba SC 1-1 Azam FC

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar