Doumbia kambini Afrika Kusini
Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia tayari amewasili kambini nchini Afrika Kusini kwa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa. Doumbia ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba SC anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji watakaokuwa katika kikosi kitachowakabili Yanga SC. Wababe hawa wawili wanatarajiwa kumenyana Oktoba 10, 2026 kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi unaosubiriwa…