Matokeo ya mechi za Simba SC NBC Premier League 2026/27

NBC Premier League kwa sasa ni mapumziko ya FIFA huku timu zikiendelea na maandalizi kwa mechi zinazofuata. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Steve Barker imeweka kambi nchini Afrika Kusini.

Haya hapa matokeo ya mechi 6 za NBC Premier League 2026/27.

Agosti 16, 2026, Kagera Sugar 0-2 Simba SC
Agosti 19, 2016, Pamba Jiji FC 1-2 Simba SC
Agosti 22, 2026, Singida Black Stars 1-2 Simba SC
Agosti 27,2026, Simba SC 1-0 Coastal Union
Agosti 31,2026, Simba SC 2-0 Geita Gold
Septemba 16, 2026, Azam FC 0-2 Simba SC

Mchezo unaofuata kwa Simba SC ni Oktoba 10, 2026 itakuwa Simba SC vs Yanga SC.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar