FT:Fountain Gate 1-1 Pamba Jiji FC, NBC Premier League
BAADA ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha umesoma Fountain Gate 1-1 Pamba Jiji FC, NBC Premier League. Wababe hawa wawili wamegawana pointi mojamoja kwa kila timu kupata inachostahili katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Fountain Gate walipindua meza baada ya dakika 6 kupita muda waliofungwa bao la uongozi na wageni…