Hiyo leo hiyo Simba SC vs Yanga SC, Uwanja wa Uhuru
HATIMAYE siku iliyosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka duniani hiyo leo hiyo Simba SC vs Yanga SC imewadia. Wababe hawa wawili wanatarajiwa kutupa kete ya kusaka ushindi mzunguko wa kwanza saa 1:00 usiku, Uwanja wa Uhuru. Simba SC wenyeji baada ya mechi 6 hawajapoteza mchezo kama ilivyo watani zao wa jadi Yanga SC. Kwenye…