Rwanda Yasaini mkataba wa miaka 10 kuandaa mbio za Formula 1 kuanzia miaka ya 2030
Rwanda imeingia katika historia ya maandalizi ya michezo barani Afrika baada ya kusaini mkataba wa miaka 10 na mashindano ya Formula 1 wa kuandaa mbio hizo nchini humo kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 2030. Mashindano hayo, yanayotarajiwa kuitwa African Grand Prix, yatafanyika katika uwanja mpya wa kisasa wa mbio unaojengwa eneo la Bugesera, takriban kilomita…