Wachezaji wanne wapo tayari kuwania tuzo ya mchezaji bora wa michuano hii mikubwa Duniani huku wewe ukiwa na nafasi ya kupiga pesa kupitia wachezaji hao. Weka pesa yako na uberti hapa.
Lionel Messi ni moja ya wachezaji ambao wanapewa nafasi ya kushinda tuzo hii kutokana na kiwango ambacho anazidi kukionesha kwenye Taji hili la Dunia huko Marekani. Ikumbukwe kuwa Argentina ndio mabingwa watetezi wa michuano hii na hivi sasa wameingia kwenye hatua ya Robo Fainali.
Takwimu zinaonesha kuwa mpaka sasa Lionel Messi ndiye kinara wa ufungaji mabao kwenye michuano hii akiwa ametupia kimyani mabao 8 huku akiwa ni moja ya wachezaji ambao Lionel Scalon anawatumia kama zana yake ya mashambulizi kwani mchezaji huyu amekuwa akiwaongoza wenzake vyema kabisa kwenye kupata ushindi. 2.75 ndio Odds za nahodha huyu wa Argentina kushinda tuzo ya Golden Boot. Je Beti yako unaiweka kwa nani leo?
Pia nahodha wa timu ya Taifa ya Uingereza Harry Kane pale Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda tuzo hii ya mchezaji bora kwenye mashindano haya kwa Odds 9.00, kutokana na ubora ambao anaendelea kuuonesha chini ya Thomas Tuchel.
Harry Kane ni sawa na washambuaji vinara wa Taji la Dunia kwani naye mpaka sasa ana mabao 7 huku timu yao ikiwa ni moja ya timu zinazopewa nafasi ya kufika mbali kwenye michuano hii baada ya kupata matokeo mazuri kwenye mechi walizocheza. Mshambuliaji ambaye anakipiga kule Ujerumani anatarajiwa kuchukua tuzo hii. Je nani kushinda tuzo hii. Tengeneza jamvi hapa.
Mkwanja mkubwa unakungoja kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kylian Mbappe kutoka Ufaransa naye yupo kwenye tuzo hizi kwani amekuwa na kiwango kikubwa kabisa tokea mwanzo wa mashindano haya. Mbappe mpaka sasa ameweza kupachika mabao 7 na kutoa pasi mbili za mabao.
Uwezo wa mshambuliaji huo wa kufanya vyema umekuwa si kitu cha kushangaza kwani takribani miaka yote huwa akifanya hivyo. Lakini pia ukomavu wake kwenye uongozi na kupiga soka safi unamfanya kuwa mchezaji ambaye anaweza akachukua tuzo hiyo. Bashiri leo Mbappe kushinda tuzo hiyo hapa.
Ushindi wa Golden Ball unaongezeka kwa kiasi kikubwa kwani anaonekana kuwa mmoja wa vinara wakuu wa tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika mafanikio ya timu ya taifa ya Ufaransa. Ufaransa itacheza mechi yao ya Robo Fainali dhidi ya Morocco kesho huku wakipewa nafasi kubwa ya kushinda.
Naye Erling Haaland, mshambuliaji wa timu ya Manchester City na timu ya Taifa ya Norway amekuwa na kiwango cha hali ya juu kwenye michuano hii huku mashabiki wengi wa soka wakishangazwa na uwezo wake huo. Haaland pia na yeye mpaka sasa ameweza kufunga mabao 7 kwenye michuano hii huku mabao yake mawili mechi iliyopita yaliweza kuiondosha Brazil kwenye taji la Dunia.
Norway na sasa watamenyana dhidi ya Uingereza kwenye hatua ya Robo Fainali huku Erling akipewa Odds 8.00 na Meridianbet kushinda tuzo ya mchezaji bora. Je mchezaji huyo anaweza akapambania tuzo hiyo?. Jisajili hapa.