Simba SC yaanza mipango kuelekea Simba DAY
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa umeanza mpango wa kuhesabu siku kuelekea tamasha kubwa la Simba Day ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2026/27. Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori amesema : “Hii maana yake tumeanza count down kuelekea kwenye Simba Day. Kama kuna mkoa Simba tukija huwa tunasikia raha ni Arusha kuna wakati mwingine…