David Molinga ‘Falcao’ Aanza na Sura Mpya, Ateuliwa Kuiongoza AC Bandal
Aliyekuwa mshambuliaji wa Young Africans SC, David Molinga maarufu kama ‘Falcao’, ameanza ukurasa mpya katika maisha yake ya soka baada ya kuteuliwa rasmi kuwa Rais wa Klabu ya AC Bandal kwa kipindi cha miaka mitano. AC Bandal, yenye makao yake katika wilaya ya Bandalungwa jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni klabu inayoshiriki…