Makipa Wanne Wawania Glovu ya Dhahabu Kombe la Dunia 2026

Huku wengine wakiwa wanapambani tuzo za mchezaji bora, wengine kiatu cha mfungaji bora, lakini pia kuna wengine wakiwa kwenye kuwania tuzo ya Golikipa Bora. Je nani kuondoka na heshima hiyo?. Meridianbet tayari imekupatia Odds zao ingia na ubeti sasa.

Jordan Pickford ni miongoni mwa makipa bora duniani kule Uingereza katika kuanzisha mashambulizi kwa pasi ndefu na fupi zenye usahihi. Uwezo huo umeifanya Uingereza iwe hatari zaidi katika mashambulizi ya kushtukiza, kwani wana wachezaji wenye uwezo mkubwa sana kule mbele akiwemo Harry Kane, Jude Bellingham, Bukayo Saka na wengine wengi.

Kipa huyo wa Everton ana uwezo wa kuokoa mashuti ya ghafla kutoka karibu na lango kwa ustadi mkubwa. Katika mechi za hatua ya mtoano, ameonyesha uwezo wa kuizuia Uingereza kupoteza mechi kwa kufanya saves muhimu katika nyakati ambazo wapinzani walionekana kuwa na nafasi za wazi za kufunga.

Lakini chini ya Thomas Tuchel Pickford amezidi kuwa bora zaidi na kuifanya Uingereza kuwa moja ya timu ambayo ni mgumu kukabiliana nayo. Bashiri Jordan kuchukua tuzo hii kwa Odds 4.50.

Pia golikipa wa Ufaransa Mike Maignan yupo kwenye kuwania tuzo hii kwani ameonyesha kiwango cha juu kwenye michuano hii na kuwa nguzo muhimu ya safu ya ulinzi ya Ufaransa. Kipa huyo ameonekana kuwa mtulivu chini ya presha, akifanya saves muhimu katika nyakati za hatari na kuwapa mabeki wake kujiamini. Pia ameonyesha uwezo mkubwa wa kuanzisha mashambulizi kwa pasi sahihi kutoka langoni, jambo linaloendana na mfumo wa kisasa wa soka.

Lakini pia mbali na uwezo wake wa kuokoa mipira migumu, Maignan ameongoza safu ya ulinzi kwa mawasiliano mazuri na maamuzi sahihi, huku akichangia clean sheets kadhaa katika mashindano.

Maignan akiwa kam Nahodha namba 3 wa kikosi hicho kinachoongozwa na kocha mkuu Didier Deschamps anapewa nafasi kubwa ya kuwa golikipa wa mashindano haya akiwa na Odds 2.75. Je wewe unaona kuwa mlinda mlango huyo anaweza kuwa mshindi?. Beti hapa.

Okoto mpunga wa maana leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Unai Simon ambaye ni Mlinda Mlango wa Hispania na timu ya Athletic Bilbao pia yupo kwenye kinyang’anyiro cha kupigania tuzo hiyo baada ya kuendelea kuonesha kiwango kikubwa kwenye michuano hii.

Golikipa huyo kinachomtofautisha na wengine ni utulivu wake akiwa langoni. Mara nyingi hashawishiki na presha ya washambuliaji, jambo linalomwezesha kufanya maamuzi sahihi hata katika nyakati ngumu za mchezo. Ana uwezo mkubwa wa kusoma mwelekeo wa mashambulizi mapema, hivyo kujipanga vizuri kabla ya mpinzani hajapiga shuti.

Na ni Golikipa ambaye ameweka rekodi kwenye Taji hili la Dunia kwa kutoruhusu kutoruhusu bao kwa dakika 650 mfululizo, rekodi bora zaidi katika historia ya michuano hii kabla ya mfululizo huo kuvunjwa na bao la Charles De Ketelaere kwenye robo fainali dhidi ya Ubelgiji mcgezo ulioisha kwa woa kushinda wa 2-1. Je Unai anaweza akashinda tuzo hii?. Jisajili na ubeti Golikipa huyu kushinda kwa Odds 3.50.

Meridianbet pia wanampa nafasi nyingine Emiliano Martinez, golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye amekuwa akifanya vyema kabisa kwenye majukumu yake ya Taifa. Ikumbukwe kuwa Martinez alishinda tuzo hii kwenye Taji la Dunia la 2022 ambapo walichukua Kombe hili. Jisajili hapa.

Kinachomfanya awe bora zaidi ni kwamba anapenda mechi kubwa na mara nyingi huonekana akiwa mtulivu hata timu inaposhambuliwa mfululizo. 5.00 ndio Odds ya Golikipa huyu wa Aston Villa kuchukua tuzo hiyo.

Kwenye michuano hii ya Taji la Dunia 2026, Martínez mwenyewe amekiri kuwa bado hajapata nafasi ya kuonyesha kiwango chake bora kama ilivyokuwa katika mashindano yaliyopita, akieleza kuwa hajalazimika kufanya saves nyingi za kuamua mechi. Hata hivyo, anaamini muda wake wa kung’aa unaweza kufika kadri mashindano yanavyoendelea.

Emiliano Martínez bado ni mmoja wa makipa wanaowania kwa nguvu tuzo ya Golden Glove, si kwa sababu ya saves pekee, bali kutokana na uzoefu wake, utulivu, uongozi na uwezo wa kuamua matokeo katika nyakati muhimu. Je wewe nafasi ya kuchukua tuzo hii unaiweka kwa nani?.