Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Yaunda Kamati ya Uchaguzi
Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imeunda Kamati ya Uchaguzi itakayoratibu mchakato wa uchaguzi wa klabu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo, kikao kilichoketi jijini Dar es Salaam kimeunda kamati hiyo kwa mujibu wa Ibara ya 37 ya Katiba ya Simba ya mwaka 2018. Kamati hiyo imeundwa na wajumbe watano, ambao ni…