Anga Lageuka Uwanja Wa Mkwanja Kwenye Planet Power Slots

Hebu fikiria umeingia kwenye safari ya anga ambako kila hatua inaweza kukuletea tukio jipya. Hiyo ndiyo ladha inayobebwa na Planet Power Slots, mchezo unaopatikana Meridianbet kasino na unaokupeleka kwenye mazingira yenye sayari zinazong’aa na matukio yanayofanya kila raundi kuwa na msisimko wake. Kwa anayependa michezo yenye mandhari tofauti na burudani inayoendelea kutoka raundi moja hadi…

Read More

UEFA Nations League: Uingereza vs Hispania, Wembley Yaandaa Vita Kubwa

Je unajua kuwa ukiwa na dau dogo, unaweza ukajipatia ushindi mnono?. Basi karibu ujiunge na mabingwa wa ubashiri Tanzania utengeneze historia yako ya kuwa Milionea leo. Michuano ya UEFA Nations League kuendelea mbapo Uingereza watakuwa wenyeji wa Hispania kwenye uwanja wa Wembley. Hispania wanaingia kama mabingwa wapya wa dunia wakati vijana wa Thomas wakiazamiwa kufanya…

Read More

Ratiba ya mechi zijazo za Azam FC

MATAJIRI wa Dar, Azam FC kwenye msimamo wapo nafasi ya 3 wakiwa na pointi 14 baada ya mechi 7. Kazi bado inaendelea ambapo kuna mechi kali zinafuata. Mchezo uliopita matokeo yalikuwa Azam FC 0-2 Simba SC ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo kupoteza. Hii hapa ratiba ya mechi zijazo za Azam FC:- Tarehe…

Read More

Utazame msimamo wa NBC Premier League

YANGA SC ni vinara kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa na pointi 18 sawa na Simba SC tofauti idadi ya mabao yakufunga na kufungwa. Pamba Jiji FC inaburuza mkia, baada ya mechi 6 imekusanya pointi 1, Kagera Sugar ni nafasi ya 15 imekusanya pointi 2 baada ya mechi 6.

Read More

Pragmatic Play Yaleta Pelican Payday Meridianbet, Reels Zaanza Kuzunguka

Kuna nyakati ambazo burudani mpya inapowasili, unajua mara moja kwamba kuna kitu tofauti kimeanza. Hiyo ndiyo hali inayotawala sasa ndani ya Meridianbet kasino baada ya Pelican Payday kutoka Pragmatic Play kuwasili. Mchezo huu mpya umeleta fursa ya kuingia kwenye ulimwengu wa mizunguko ya kasino, kufurahia kila mzunguko na kufuatilia safari ambayo inaweza kuleta zawadi za…

Read More

Raphinha Apewa Jezi Namba 10 ya Brazil, Aanza Enzi Mpya Baada ya Neymar

Mshambuliaji wa Barcelona, Raphinha, amepewa rasmi jezi namba 10 ya timu ya taifa ya Brazil, akianza ukurasa mpya baada ya nyota Neymar kutokuwamo kwenye kikosi cha sasa. Shirikisho la Soka la Brazil (CBF) limetangaza namba za jezi zitakazovaliwa na wachezaji katika michezo ijayo ya kimataifa, huku Raphinha akipewa namba hiyo yenye historia kubwa katika soka…

Read More

Haaland Afikisha Mabao 64 Katika Mechi 56 za Norway

Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, ameendelea kuonyesha uwezo wake wa kufunga mabao katika soka la kimataifa baada ya kuifungia Norway mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Denmark. Haaland alianza kuandika jina lake kwenye ubao wa matokeo dakika ya 18, kabla ya kuongeza bao la pili dakika ya 74 na kuisaidia Norway…

Read More

Forever Split Megaways Yawasili Meridianbet, Mchezo Mpya Waanza Kuteka Kasino

Meridianbet imeongeza moto kwenye kasino kwa ujio wa Forever Split Megaways, mchezo mpya kutoka Pragmatic Play unaokuja na burudani ya aina yake. Kama wewe ni mpenzi wa reels zinazozunguka, alama zinazobadilika na sapraizi zinazoweza kujitokeza wakati wowote, basi mchezo huu una sababu ya kuingia kwenye orodha yako ya kujaribu. Mara tu raundi inapoanza, macho yanaelekezwa…

Read More