MATAJIRI wa Dar, Azam FC kwenye msimamo wapo nafasi ya 3 wakiwa na pointi 14 baada ya mechi 7. Kazi bado inaendelea ambapo kuna mechi kali zinafuata. Mchezo uliopita matokeo yalikuwa Azam FC 0-2 Simba SC ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo kupoteza.
Hii hapa ratiba ya mechi zijazo za Azam FC:-
| Tarehe | Mechi |
| Oktoba 8, 2026 | Coastal Union vs Azam FC |
| Oktoba 28, 2026 | Azam FC vs Mbeya City |
| Oktoba 31, 2026 | JKT Tanzania vs Azam FC |
| Novemba 20, 2026 | Azam FC vs Singida Black Stars |
| Novemba 27, 2026 | Fountain Gate vs Azam FC |
| Desemba 4, 2026 | Yanga SC vs Azam FC |
| Desemba 12, 2026 | Azam FC vs Dodoma Jiji FC |
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.
Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.
Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.
Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar