Ratiba ya mechi zijazo za Azam FC

MATAJIRI wa Dar, Azam FC kwenye msimamo wapo nafasi ya 3 wakiwa na pointi 14 baada ya mechi 7. Kazi bado inaendelea ambapo kuna mechi kali zinafuata. Mchezo uliopita matokeo yalikuwa Azam FC 0-2 Simba SC ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo kupoteza. Hii hapa ratiba ya mechi zijazo za Azam FC:- Tarehe…

Read More

Utazame msimamo wa NBC Premier League

YANGA SC ni vinara kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa na pointi 18 sawa na Simba SC tofauti idadi ya mabao yakufunga na kufungwa. Pamba Jiji FC inaburuza mkia, baada ya mechi 6 imekusanya pointi 1, Kagera Sugar ni nafasi ya 15 imekusanya pointi 2 baada ya mechi 6.

Read More