YANGA SC ni vinara kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa na pointi 18 sawa na Simba SC tofauti idadi ya mabao yakufunga na kufungwa.
Pamba Jiji FC inaburuza mkia, baada ya mechi 6 imekusanya pointi 1, Kagera Sugar ni nafasi ya 15 imekusanya pointi 2 baada ya mechi 6.