Yanga yaomboleza mwanachama na kiongozi wake Mama Fatma Karume
Uongozi wa Young Africans Sports Club (YANGA) umetuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa klabu hiyo, Mama Fatma Karume, aliyefariki dunia Septemba 21, 2026. Kupitia taarifa iliyotolewa Septemba 22, 2026, Uongozi wa YANGA umesema umepokea kwa huzuni kubwa taarifa za kifo cha Mama Fatma Karume, akielezwa kuwa mmoja wa…