Arsenal yapata kipigo mara ya kwanza Premier League 2026/27

Brighton 3-0 Arsenal ni matokeo katika mchezo wa Premier League ikiwa ni kichapo cha kwanza kwa mabingwa watetezi. Vijana wa Mikel Arteta waliangusha pointi tatu wakiwa ugenini kwenye mchezo mkali wakusaka pointi 3 muhimu Septemba 19, 2026. Mabao yamefungwa na Pascal Grob dakika ya 31, Charalampos Kostoulas dakika ya 45
Chema Andres dakika ya 57. Mchezo huu ulipigwa Uwanja wa Express, Brighton and Hove.

Takwimu za mchezo

Maelezo Brighton Arsenal
Mashuti 14 6
Yaliyolenga lango 5 1
Umiliki wa mpira 43% 57%
Pasi 298 479
Faulo 13 10
Kadi za njano 4 1
Kona 5 6

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar