Timu ya Taifa ya Wales Yapata Pigo Kubwa

Timu ya Taifa ya Wales imepata pigo kubwa baada ya wachezaji wake watatu muhimu, Harry Wilson, Nathan Broadhead na kipa Karl Darlow, kujiondoa kikosini kutokana na majeraha waliyoyapata kabla ya kuanza kwa kampeni yao ya Ligi ya Mataifa ya UEFA. Kocha Mkuu wa Wales, Craig Bellamy, amewaita wachezaji wengine watatu kuchukua nafasi za wachezaji hao…

Read More

Yanga Yatikisa Afrika, Wachezaji 12 Waitwa Timu Za Taifa

Yanga imeendelea kuthibitisha ukubwa wake barani Afrika baada ya wachezaji wake 12 kuitwa kuziwakilisha timu zao mbalimbali za taifa. Hali hiyo inaonyesha ubora wa kikosi cha Wananchi pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanywa na uongozi katika kusajili nyota wa kiwango cha kimataifa. Wachezaji hao wameitwa kujiunga na vikosi vya mataifa yao kwa ajili ya michezo ya…

Read More

Yanga SC yaweka wazi mipango kazi

UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa kutakuwa na muda wa mapumziko kwa wachezaji wa timu hiyo kwa muda wa siku 8 huku wakiendelea na program za mazoezi. Timu hiyo mchezo wake wa mwisho ulikuwa wa kirafiki dhidi ya St George ikipata ushindi wa bao 1-0 likifungwa na Albert Kangwanda Uwanja wa Uhuru. Kamwe ameweka…

Read More

Spinning Buddha Yafungua Lango La Msisimko Meridianbet

Meridianbet imeongeza moto mwingine kwenye burudani za kasino kupitia Spinning Buddha, mchezo mpya unaokuja na mchanganyiko wa muonekano wa kuvutia, msisimko na nafasi ya kujaribu bahati. Ni aina ya mchezo inayoweza kukufanya ufuatilie kila mzunguko kwa hamu, huku ukisubiri kuona alama zitakavyopangwa. Kwa wapenzi wa kasino wanaopenda michezo yenye mwendo na mazingira yenye mvuto, Spinning…

Read More