Kila Ushindi Una Pointi: Endorphina Tournament Yafika Meridianbet

Katika mchezo, kuna wakati ushindi hauishii kwenye kile unachopata papo hapo, unaweza pia kuwa mwanzo wa kuongeza alama zako kwenye mashindano. Hilo ndilo linaloingia sasa kupitia Endorphina Tournament, inayopatikana ndani ya Meridianbet. Wachezaji wanaweza kushiriki kwenye sloti zinazostahili na kupata pointi kulingana na ushindi wanaoupata. Kwa kila ushindi, safari ya kukusanya pointi inaweza kuendelea, na hapo ndipo mashindano yanapopata ladha yake.

Mlango wa kuingia umewekwa wazi kwa kupitia dau lako. Ukishatimiza kiwango hicho, kila ushindi unaoupata kwenye sloti zinazoshiriki unaweza kukupa pointi. Mfumo huo unatokana na vizidishi vya ushindi, hivyo kiasi cha ushindi wako ukilinganisha na dau lako kinaamua pointi utakazopata.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Fikiria umeweka dau la Tsh. 3,000. Ukipata ushindi wa Tsh. 30,000, mfumo unakupa pointi 1,000. Lakini safari haishii hapo. Ukiweka tena Tsh. 3,000 na safari hii ukashinda Tsh. 60,000, unapata pointi 2,000. Hii inaonyesha namna ushindi tofauti unavyoweza kuzalisha idadi tofauti ya pointi kwenye mashindano.

Sasa ukiweka ushindi huo pamoja, hesabu inakuwa rahisi, pointi 1,000 kutoka kwenye ushindi wa kwanza pamoja na pointi 2,000 kutoka kwenye ushindi wa pili zinakupa jumla ya pointi 3,000. Kwa hiyo, kila ushindi unaweza kuwa sehemu ya kujenga jumla yako ya pointi kadri unavyoendelea kushiriki kwenye tournament.

Endorphina Tournament imefika Meridianbet, na safari ya pointi imeanza. Chagua sloti zinazostahili, weka dau lako, cheza na kusanya pointi kupitia ushindi wako. Kila ushindi una nafasi ya kuongeza alama zako, na kila pointi inaongeza msisimko wa mashindano.