Mkude alimpiga mkwara kocha
LEGEND ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Jonas Mkude kiungo wa Mashujaa FC ameweka wazi kuwa alipokuwa ndani ya Yanga SC alimpa kazi ngumu Kocha Mkuu Miguel Gamondi kwa wakati huo kuhusu uwezo wake kwenye mechi za kimataifa. Mkude amebainisha kuwa kuna siku Gamondi alimuuliza kama anaweza kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika jambo…