Magic Wheel Kukupa Raundi Ya Sekunde Chache, Ushindi Wa Uhakika

  Ukiona watu wakifuatilia gurudumu likizunguka bila kutaka kupepesa macho, huenda umefika kwenye Magic Wheel. Mchezo huu wa kasino umeleta aina nyingine ya burudani kwa wapenzi wa kubashiri, ukifanya kila raundi kuwa na presha yake. Kinachovutia zaidi ni kutokuwepo kwa uhakika wa mahali gurudumu litasimama, hivyo kila mzunguko unaanza kama ukurasa mpya wenye mwisho usiojulikana….

Read More

FT: Azam FC 0-2 Simba SC NBC Premier League

Azam FC 0-2 Simba SC ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliokuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja dakika zote 90.  Mabao ya Simba SC yamefungwa na Fasika Idumba ambaye alijifunga dakika ya 58 na bao la pili limefungwa na Clatous Chama dakika ya 68. Unakuwa mchezo wa kwanza matajiri wa Dar wanapoteza…

Read More

Azam FC vs Simba SC huyu hapa mshindi

MLINDA mlango namba moja wa Azam FC, Aishi Manula amesema kuwa timu ambayo itacheza kwa umakini leo na kutumia nafasi uwanjani ina nafasi kubwa kupata ushindi. Leo Septemba 16, 2026 Azam FC vs Simba SC watamenyana Uwanja wa Azam Complex kwenye msako wa pointi 3 muhimu saa 1:00 usiku. Manula amesema: “Timu itakayocheza vizuri kwa…

Read More

Yanga SC 1-0 Geita Gold NBC Premier League

Yanga SC imevuna pointi tatu dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa KMC Complex umesoma Yanga SC 1-0 Geita Gold, bao ka ushindi limefungwa na Oumar Kamara dakika ya 55 kwa pasi ya Maxi Nzengeli. Kiungo mshambuliaji Aziz Ki…

Read More

Azam FC vs Simba SC fomu ya timu na H2H

Septemba 16, 2026 ni Mzizima Dabi, Azam FC vs Simba SC, Uwanja wa Azam Complex, saa 1:00 usiku. Hapa tumekuletea mechi 5 za hivi karibuni kwa timu hizi mbili na H2H Mechi 5 za Simba SC 13/09/2026, Simba SC 6-1 Mighty Wanderers 06/09/2026, Mighty Wanderers 0-1 Simba SC 31/08/2026, Simba SC 2-0 Geita Gold 27/08/2026,…

Read More

Sokabet yatumia Sh44.7 bilioni kuwazawadia washindi wa mwezi Agosti

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Sokabet imetumia jumla ya Sh44, 658,787,637 kuwazawadia washindi mbalimbali kwa mwezi Agosti. Hayo yamesemwa na Meneja Msaidizi wa Huduma kwa Wateja wa Sokabet Tanzania, Lazaro Mduma, wakati wa wa zoezi la kumkabidhi fedha mmoja wa washindi, akiwemo R. Likwawa ambaye alishindi Sh Sh143.1 milioni kupitia mchezo wa Shining Crown Mduma alisema…

Read More

Yanga SC vs Geita Gold kupigwa KMC Complex

 Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi amesema wanatambua wana mchezo mgumu vs Geita Gold ambao watakutana nao leo Septemba 15, 2026 kwenye mchezo wa ligi. Wababe hawa wawili watakuwa na kasi kusaka pointi 3 muhimu Uwanja wa KMC Complex saa 1:00 usiku. Kocha Manqoba amebainisha kuwa anatambua mbinu wanazotumia wapinzani wao katika kusaka ushindi….

Read More