Yanga SC 1-0 Geita Gold NBC Premier League

Yanga SC imevuna pointi tatu dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa KMC Complex.

Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa KMC Complex umesoma Yanga SC 1-0 Geita Gold, bao ka ushindi limefungwa na Oumar Kamara dakika ya 55 kwa pasi ya Maxi Nzengeli.

Kiungo mshambuliaji Aziz Ki alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 18 baada ya kumchezea faulo Datius Peter ni Septemba 15, 2026 wababe hawa walipambana.

Matokeo haya yanaifanya Yanga SC kuendelea kusalia kileleni baada ya mechi 6 imeshinda zote na kuvuna jumla ya pointi 18.

Yanga SC haijapoteza mchezo ndani ya ligi mpaka sasa kwa msimu wa 2026/27 inapambana kutetea taji lake ililotwaa msimu wa 2025/26.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar