FT: JKT Tanzania 1-2 Azam FC, NBC Premier League

Dakika 90 zimekamilika matokeo ni JKT Tanzania 1-2 Azam FC NBC Premier League 2026/27 mzunguko wa 11 kwa wababe hawa wawili.Oktoba 31,2026 pambano hili kali lilipigwa.

Ni Karim Mfaume alianza kufunga dakika ya 11 kwa upande wa wenyeji na Idd Nado aliweka usawa dakika ya 27 huku bao la ushindi likifungwa na Lusajo Mwaikenda dakika ya 58.

Wenyeji wameacha pointi 3 zikiondoka licha ya kuanza kupata bao katika kipindi cha kwanza na kufanya majaribio matatu yaliyookolewa na mlinda mlango Foba.

Ushindi huo umewapa pointi 3 muhimu na kupanda kwa nafasi moja kutoka nafasi ya 3 mpaka nafasi ya pili wakiishusha Yanga SC yenye pointi 22 huku Azam FC ikiwa na pointi 23 baada ya mechi 10.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4