FT: Azam FC 0-2 Simba SC NBC Premier League

Azam FC 0-2 Simba SC ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliokuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja dakika zote 90.

 Mabao ya Simba SC yamefungwa na Fasika Idumba ambaye alijifunga dakika ya 58 na bao la pili limefungwa na Clatous Chama dakika ya 68. Unakuwa mchezo wa kwanza matajiri wa Dar wanapoteza msimu wa 2026/27

Pointi 18 Simba SC wanafikisha mara baada yakucheza mechi 6 sawa na Yanga SC ambao wanaongoza ligi kwa tofauti ya mabao yakufunga na kufungwa.

Man of The Match ni Rushine beki wa Simba SC ambaye alisababisha hatari ya dakika ya 58 kwa kupiga krosi akimalizia kona iliyopigwa na Nathaniel Chilambo.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar