Kocha Mngqithi Aibuka Na Mbinu Mpya Yanga, Awataka Mashabiki Kuwa Na Subira
Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Manqoba Mngqithi, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kufuatia kiwango kisichoridhisha katika baadhi ya michezo, akisema amepata “akili mpya” ya kukisuka na kukiunganisha vizuri kikosi chake ili kucheza soka la kuvutia na kupata matokeo makubwa zaidi. Mngqithi, raia wa Afrika Kusini, amekiri kuwa timu yake bado inakabiliwa na changamoto…