Wakali Wa Ubashiri Wamechagua Hizi Ndizo Mechi Za Leo

Je unajua kuwa leo huenda ikawa ni siku yako ya bahati?. Kama hujajua basi mimi ndio nakujuza, ingia kwenye akaunti yako na uweke dau lako dogo tuu kisha ubashiri mechi za leo.

Hispania LALIGA kuna mechi moja kati ya Villarreal dhidi ya Real Betis ambapo Nyambizi wa Njano wao wakiwa na faida ya kucheza nyumbani lkaini pia na uwezo wao mkubwa wa kumiliki mpira na kutengeneza nafasi kupitia mashambulizi ya kushtukiza.

Real Betis wao, ni timu yenye uwezo wa kucheza kwa utulivu na kutumia pasi nyingi kujenga mashambulizi. Wakiwa na nafasi, Betis wanaweza kuwa hatari katika eneo la mwisho na kulazimisha Villarreal kurudi nyuma. Hata hivyo, watapaswa kuwa makini dhidi ya mashambulizi ya haraka ya Villarreal.

Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 7 pekee ambapo mwenyeji ndio kwanza ana pointi 2 kwenye mechi nne ambazo amecheza hivyo mwenendo wake sio mzuri kwenye ligi hadi sasa, wakati mpinzani wake akiwa na pointi tisa hadi sasa. Beti hapa.

Mara ya mwisho kukutana, yaanai msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana, Betis alifanikiwa kuondoka na pointi 4 baada ya mechi ya kwanza kutoa sare na ya pili kushinda wakiwa kwao. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Jisajili hapa.

Mkwanja mnono upo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Napo kule ITALIA SERIE A kutakuwa na mechi nyingi lakini sisi tutawatazama mabingwa watetezi Inter Milan ambao wao watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi 4 hadi sasa.

Inter chini ya Chivu imekuwa ni timu ambayo inaendelea kufanya vyema kwani hadi sasa kwenye mechi 3 ambazo wamecheza wamefanikiwa kupata ushindi mechi zote tatu na kukusanya pointi 9.

Timu hiyo inahitaji kuendelea kukusanya kila pointi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutetea taji lao msimu huu pia huku wakiwa na wachezaji wengi na wenye ubora mkubwa wa kufanya hivyo wakiongozwa na Lautaro Martinez.

Udinese ni moja ya timu ambazo sio rahisi kuzifunga, lakini Inter wanaweza wakatumia uwanja wao wa nyumbani vyema kuhakikisha wanapata ushindi. ODDS KUBWA zipo hapa kwaajili yako hivyo beti sasa.

Ligi kuu ya Uingereza, EPL itaendelea kwa mechi moja pekee ambapo Leeds United watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Newcastle United, moja ya mchezo ambao unatarajiwa kuwa wa kuvutia kutokana na namna ambavyo timu zote huwa zinacheza.

Leeds United wao wana faida moja ya kutumia mashabiki zao hapo nyumbani ambao kw anamna moja au nyingine wanawapa morali ya kupambana zaidi na kuweka presha kwenye mchezo kwani ushindi huo utakuwa muhimu sana kwa upande wao baada ya kutoa sare kwenye mechi iliyopita. Bashiri mechi hii.

Kwa upande wa Newcastle United, uzoefu na ubora wa kikosi unaweza kuwapa faida katika mchezo huu. Newcastle ina uwezo wa kushambulia kupitia pembeni na pia kutumia mipira ya haraka pale inapopata nafasi. Ikiwa wataweza kutawala eneo la kiungo na kuzuia Leeds kucheza kwa uhuru, wana nafasi nzuri ya kupata matokeo.

Odds kubwa zipo kwenye mechi hii huku wakali wa ubashiri wao wakimpendelea Newcastle kuondoka na ushindi ugenini kutokana na kuwa na wachezaji bora. Lakini je Leeds watakubali?. Jisajili hapa.