Mohamed Hussein Atoa Ujumbe Kabla Ya Yanga Kuikabili Geita Gold
Mchezaji wa Yanga, Mohamed Hussein, amesema timu hiyo inaendelea vizuri na ipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold, licha ya kuwa na muda mfupi wa maandalizi. Mohamed amesema maandalizi yaliyofanyika katika siku mbili zilizopita yamewasaidia kujiandaa vyema kwa mchezo huo na kuongeza kuwa benchi la ufundi limefanya uchambuzi wa kina kuhusu wapinzani…